Ww si mzazi wake ulimzaa ni halali usiaminiKuna mtu mimi nilikuaga namuonaga kama mzee yani nilimkadiria 40-45 hiv,ina hata salamu nilikua nampa ile ya heshima yani kiutu uzima kabisa... siku niliyokuja kuona umri wake kwenye vitambulisho vyake sikuamini na sitaamini hadi kesho eti ana miaka 29
Ww si mzazi wake ulimzaa ni halali usiamini
Mimi ni kijana WA kiume Nimezaliwa 1995 (27miaka) Ila muonekano WANGU ni tofauti kabsa n'a umri wangu halisi.
Nmeuliza watu randomly mtaani wakadirie umri majibu yanarange ,miaka 34,35,36
Nimepata emotional Demage , confidence imepangua sana
Tizama Hizi picha zangu Nmepiga Leo then tia neno au ushauriπ€π€
Kwa hiyo humsalimii tenaKuna mtu mimi nilikuaga namuonaga kama mzee yani nilimkadiria 40-45 hiv,ina hata salamu nilikua nampa ile ya heshima yani kiutu uzima kabisa... siku niliyokuja kuona umri wake kwenye vitambulisho vyake sikuamini na sitaamini hadi kesho eti ana miaka 29 ππ
Namsalimiaga ila simuogopi kama mwanzo ππKwa hiyo humsalimii tena
WeeeNamsalimiaga ila simuogopi kama mwanzo ππ
πππWeee