Kwanza kabisa,namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda wakati wa safari ya kwenda na kurudi Uswisi. Ninayo mengi ya kusema kuhusu mabilioni yaliyofichwa huko na uwepo wake hapa duniani Gavana wa zamani wa BOT,Dr. Daud Balali. Nimerudi jana tu toka huko nilikotumwa na chama-CCM na Serikali yake. Tukutane baada ya sikukuu. Muwe na sikukuu njema!