BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,249
MbeyaUko mkoa gani kaka
Skia nkuambie,Wakuu heshima kwenu.
Nina m8 nahitaji gari zifuatazo kama utawezekana.
Premio new model no. C au D.
Raum new model no.Cau D.
spacio new model no. C au D.
Vitz new model no C au D.
Zote hizo ziwe na hali nzuri.
Ahsanteni.
0753255844 whatssap
Skia nkuambie,
Hata ukichukua gari namba D ujue hata mwaka uliopita miezi kama hii zilikuwepo namba D, so possibly ukapewa gari iliyopita mwaka hapa Tanzania.
Ukichukua namba C ndio kabisaaa hata miaka mitatu au minne ishapita.
Ushauri wangu ni kua hela uliyonayo (Tshs 8Mil) sio ndogo, jihimu uongeze japo 2mil uagize mpya Japan. Gari kama ulizotaja iliyonunuliwa Tshs 10mil miaka minne au mitatu iliyopita kwa barabara zetu na uendeshaji wetu ilitakiwa ishuke mpaka hata 6mil. Ni ushauri tu
Kama huna gari kausha sio lazima kila post uonekane acha ufala.Hakuna watu wanaoniboa kwa kununua gari kwa kuangalia namba ni ushamba uliopitiliza kuna gari namba A nzuri kuliko D iliyotoka Japan juzi
Umenogesha jukwaa Tz wanaendesha usajili wa namba na sio magari imara na yenye nguvu. Usivurugwe na usajili wa namba D ukafikiri ndio ubora wa gari. Tafuta gari imara iliyosimama yenye uwezo wa kuhimili mikiki mikiki barabarani.Hakuna watu wanaoniboa kwa kununua gari kwa kuangalia namba ni ushamba uliopitiliza kuna gari namba A nzuri kuliko D iliyotoka Japan juzi
Mikimiki kwa anakwambia anataka trekta mkuu.....Umenogesha jukwaa Tz wanaendesha usajili wa namba na sio magari imara na yenye nguvu. Usivurugwe na usajili wa namba D ukafikiri ndio ubora wa gari. Tafuta gari imara iliyosimama yenye uwezo wa kuhimili mikiki mikiki barabarani.
M8 ni smartphone htc m8 sasa we unatakaje gari na simu yako m8Wakuu heshima kwenu.
Nina m8 nahitaji gari zifuatazo kama utawezekana.
Premio new model no. C au D.
Raum new model no.Cau D.
spacio new model no. C au D.
Vitz new model no C au D.
Zote hizo ziwe na hali nzuri.
Ahsanteni.
0753255844 whatssap
Kwa nini magari ya Japani watu waseme mapya wakati unakuta ni modeli za zamani, yaani 1998-2005, modeli mpya unakuta unalambwa m30 hadi m50
Haya tuma salamu kwa watu3 halafu kajisaidie ulale.Mtu akiona gari kwa mara ya kwanza yeye anahisi ni new model. Ni watu wachache saana wanaofuatilia models za magari. Mtu anaagiza gari ya 2005 kutoka Japan kisha anasema amenunua gari jipya.
mmmmh wewe sasa unajidandanganyaHakuna watu wanaoniboa kwa kununua gari kwa kuangalia namba ni ushamba uliopitiliza kuna gari namba A nzuri kuliko D iliyotoka Japan juzi
..............Other things kept constantMkuu ushauri ni mzuri sana unaponunua gari usiangalie namba kwanza kuna factors nyingi za kuconsider, Angalia Mileage, Physical appearance ya gari, engine fanya testing usikilize engine...
ukiwa na mil 9 au 10 unapata Vitz au Raum kutoka Japan