Nina laki 5 nahitaji Laptop fasta

BMB5

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
196
Reaction score
8
Iwe core i7, good condition, great battery life nicheki 0688206680
 
Kama utaitaka hiyo i5 kwa 500 siyo chini ya hpo my no is 0716917896
 
iwe core i7,good condition,great battery life nicheki 0688206680

Kuna jamaa yako mmja Yuko so mali street kko, ana laptops 100 kidogo ukienda hapo utapata machine nzuri tu
 
Kuna jamaa yako mmja Yuko so mali street kko, ana laptops 100 kidogo ukienda hapo utapata machine nzuri tu
Mkuu mrangi naomba anuani ya huo mtaa ni somali na mtaa upi maana huo mtaa ni mrefu maana hata mi nahitaji hiyo mashine asante
 
Mkuu mrangi naomba anuani ya huo mtaa ni somali na mtaa upi maana huo mtaa ni mrefu maana hata mi nahitaji hiyo mashine asante
51 somali street chief! Huyo jamaa analeta laptops nyingi sana ntaku pm # zake pia
 
Kuna acer minlaptop battery life 6 hours nipm nikupatie mpya kabisa
 
Iwe core i7, good condition, great battery life nicheki 0688206680
Ushauri wangu kwako ni kwamba, kabla hujanunua pc fanya research nzuri ujue proccesor, RAM, harddisc na battery!!! ukipata ya dukani itakua nzuri zaidi!!
 
51 somali street chief! Huyo jamaa analeta laptops nyingi sana ntaku pm # zake pia

Mkuu mrangi naomba na mimi nipm namba za huyu jamaa nikajipatie laptop kwake mkuu!
 
Last edited by a moderator:
nami Nahitaji namba ya huyo jamaa wa kariakoo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…