P Plan Of Action JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 462 Reaction score 382 Aug 31, 2016 #1 wadau sina pesa za kutosha kununua camera yenye uwezo mkubwa wa kurekodi video.\ mwenye uwezo wa kunipatia camera kwa hiyo pesa ajitokeze.. ni kama umenisaidia tu maana hiyo pesa ni ndogo sana kwa DSLR, karibuni
wadau sina pesa za kutosha kununua camera yenye uwezo mkubwa wa kurekodi video.\ mwenye uwezo wa kunipatia camera kwa hiyo pesa ajitokeze.. ni kama umenisaidia tu maana hiyo pesa ni ndogo sana kwa DSLR, karibuni