Hizo 3G zipo nyuma sana afu hujasema ni 3s au 3 na ni GB ngapi
swali zuri mkuu, mi utundu wangu ni kwenye NOKIA tu. Hizi Iphone siyo mjuzi nazo kabisa. Yani ata sifahamu kama ni 3s au 3. Ninapenda mimi humu kwenye hii simu ni GAME. Maana inachukua mafile makubwa sana yani hadi GAME ya MB 50 na kuendelea inaingia. Ila kwenye GB hii kitu internal memory ni 32GB. Ina WI-FI. viber, itune, , ( makolokolo mengine mi siyaelewi mi nishazoea NOKIA. ). Bei 200000