Nina hp notebook 6530d haikubali win 7 naomba msaada

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802
Habari wakuu, wataalam na wanataaluma ya IT nahitaji kuelekezwa juu ya laptop yangu hp nimekua nikitumia win8 mwaka sasa hapa katikati mwaka huu nilinunua anti virus mpya, nikaiweka cha ajabu ilishindwa kudeal na malware,

Niliamua kudownload antimalware nikairun, ikafanyakaz kwa muda.

Nimeshindwa kuivumilia hii Windows nilitaka kuitoa nirudi Windows seven, Windows seven imegoma kuingia, hata kukubali kuboot imeshindikana, nimeamua tu kuweka Windows Eight upya haiasumbui inakubali,

Mtaalan mmoja, anadai ipo sehem kwenye bios inatakiwa niiset, settings naomba msaafa settings hapo kwenye bios, niset nini?

Asanteni.
 
kwenye bios labda anamaanisha uset priority iwe inaboot toka kwenye cd kwanza kabla ya hdd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…