Nina Dipolma ya Computer Science, Natafuta Kazi

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,832
Reaction score
5,309
Hello JF, I have a Diploma in Computer Science, i real need job on my expertise or otherwise, kama una namna yoyote ya kunisaidia please ni-pm.
 
kama una "dipolma" basi sikupatii ajira.kuna mtu alikuwa anahitaji IT mwenye "diploma".
 
kama una "dipolma" basi sikupatii ajira.kuna mtu alikuwa anahitaji IT mwenye "diploma".

Acha kujifanya unajua kukosoa spelling wakati hujui kuwa unatakiwa uanze na herufi kubwa mwanzo wa sentensi na baada ya nukta.
 
Niambie your area of interests and what sort of projects have you done while at school? kuna kampuni ya mshkaji wangu wanatafuta junior web developers and they pay handsomely.. Goodluck
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…