N ng'adi lawi JF-Expert Member Joined Sep 27, 2014 Posts 2,956 Reaction score 1,115 Dec 24, 2014 #1 Mwenye nafasi kwenye idara ya manunuzi na uboharia anipe kazi sitamwangusha!
G gasscan Member Joined Dec 3, 2014 Posts 39 Reaction score 7 Dec 24, 2014 #2 ng'adi lawi said: Mwenye nafasi kwenye idara ya manunuzi na uboharia anipe kazi sitamwangusha! Click to expand... haina soko iyo
ng'adi lawi said: Mwenye nafasi kwenye idara ya manunuzi na uboharia anipe kazi sitamwangusha! Click to expand... haina soko iyo
Bonny Masih Senior Member Joined Apr 20, 2014 Posts 120 Reaction score 31 Dec 24, 2014 #3 si nasikiaga corse yenu kazi ubweteeeeee tu
shemweta91 Senior Member Joined Sep 4, 2013 Posts 101 Reaction score 18 Dec 24, 2014 #4 man nami ni mhanga katika hilo kazi si mchezo
Uduvi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 738 Reaction score 521 Dec 27, 2014 #5 Unaweza kutengeneza tender documents za kitaifa na kimataifa???
K king90 JF-Expert Member Joined Apr 18, 2014 Posts 368 Reaction score 221 Dec 27, 2014 #6 Eti haina soko????????? Njoo uone watu wanavyokula kodi zenu.utakimbia ndugu yangu
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,709 Reaction score 4,219 Dec 28, 2014 #7 wa diploma hawez labda awe amejiongeza.
Ibravo JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 539 Reaction score 202 Dec 28, 2014 #8 gasscan said: haina soko iyo Click to expand... 75%-80% ya budget ya nchi including your paid taxes zinapitia mikononi mwetu uki_plus 10% plus Figure Multiplication what you expect at the end of month excluding monthly salary! Kaa hivyo hivyo na dhana zakujazwa na watu ktk kichwa chako.
gasscan said: haina soko iyo Click to expand... 75%-80% ya budget ya nchi including your paid taxes zinapitia mikononi mwetu uki_plus 10% plus Figure Multiplication what you expect at the end of month excluding monthly salary! Kaa hivyo hivyo na dhana zakujazwa na watu ktk kichwa chako.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Dec 28, 2014 #9 Kwa level ya diploma cjui kama inalipa,ila kwa wenye degree naona wanafanya fujo sana hapa town!