Hivi ni mtu gani anayeweza kupoteza muda na fedha zake kuwapigia/kukupigia simu kama hauwezi kujiuza vizuri kimasoko?
Kama mnatengeneza websites bila shaka nani au nawe utakuwa na website ambayo ina templates mbalimbali ili watu waone ufanisi wenu au wako.
Zaidi ya hilo lazima ujifarague kwa kueleza aina ya mbinu, muundo, lugha au platform(s) ambayo inatumika nawe au nanyi kufanikisha utengenezaji wa websites.