Nina 7ml natafuta gari!

Nina 7ml natafuta gari!

idudumo

Senior Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
188
Reaction score
343
Wakuu nina offer ya 7ml natafuta Gari.
Spacio/rush/Noah/rav4/xtrail moja wapo kati ya aina hizo
 
Kila la kher mkuu!Ila kuwa makini kibongo bongo ukiona jamaa anauza jua ni used kweli kweli!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom