jean phillipe beyun
Senior Member
- May 18, 2015
- 142
- 167
Ulikua unashaurije mama yangu? SijakusomaPaso Gari la makaratasi adi filter ta makaratasi
Ulikua unashaurije mama yangu? Sijakusoma
Wana nzengo nahitaji gari ambalo mtu ameshatumia walau mwaka au miaka 2 na anahitaji kuliuza, ili na mm nijibanze humo, mfano paso na gari mfano wa hizo toyota ist na kadhalika
Kwa mwenye taarifa naomba tuanzia pm kwanza
dogo kidogo kama shilingi ngapiMilion sita unaongezea kidogo unaagiza npya dukani
Wana nzengo nahitaji gari ambalo mtu ameshatumia walau mwaka au miaka 2 na anahitaji kuliuza, ili na mm nijibanze humo, mfano paso na gari mfano wa hizo toyota ist na kadhalika
Kwa mwenye taarifa naomba tuanzia pm kwanza
Tuwasiliane nikupe toyota harrier, gari ipo vzr sanaa tuwasiliane kwa namba hii.0756653128, 0785636880.
Kwa mil 6 au?mkuu nitafute nikuuzie Nissan XTrail
ndio mkuuKwa mil 6 au?
ushulu 4.5m kununua na kusafirisha na inspection $2200
Wana nzengo nahitaji gari ambalo mtu ameshatumia walau mwaka au miaka 2 na anahitaji kuliuza, ili na mm nijibanze humo, mfano paso na gari mfano wa hizo toyota ist na kadhalika
Kwa mwenye taarifa naomba tuanzia pm kwanza
Niko na Toyota Duet, manual....7.5m cash unaichukua. Iko vzr sana.Wana nzengo nahitaji gari ambalo mtu ameshatumia walau mwaka au miaka 2 na anahitaji kuliuza, ili na mm nijibanze humo, mfano paso na gari mfano wa hizo toyota ist na kadhalika