Nina 120,000 nahitaji simu

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,232
Reaction score
4,927
Simu ambazo napendekeza ni
Tecno W4,W5
Itel S31,infinix hot2,hot 3,hot 4 na hot 5
Kwa mwenye simu inayoendana na bei hiyo au hata kama itazidi kidogo tutaongea.

Weka picha na bei ya simu yako.
 
Simu ambazo napendekeza ni
Tecno W4,W5
Itel S31,infinix hot2,hot 3,hot 4 na hot 5
Kwa mwenye simu inayoendana na bei hiyo au hata kama itazidi kidogo tutaongea.

Weka picha na bei ya simu yako.
Ipo Tecno w4
Nicheki kwa 0654791771
Kama bado unahitaji
Kuna mtu kakwama anataka Apunguze ugumu WA maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu ambazo napendekeza ni
Tecno W4,W5
Itel S31,infinix hot2,hot 3,hot 4 na hot 5
Kwa mwenye simu inayoendana na bei hiyo au hata kama itazidi kidogo tutaongea.

Weka picha na bei ya simu yako.
Samsung S9 unachukua?

Imetumika miezi 3 tu. Iko katika hali nzuri kwa kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…