Swordfisher
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 233
- 37
Hahaha! Kha!Kanunue hard disk...then ifunge kwenye redio itafanya kazi kama laptop.
Kanunue hard disk...then ifunge kwenye redio itafanya kazi kama laptop.
Hongera mkuu kwa kupata ulichokuwa unakitafuta..!Wakuu ningependa kuwataarifu kuwa laptop imepatikana tangu jana,ingawa ina matatizo ya betri. Sitajibu tena PM kuhusiana na swala hilo.
Cyo mchezoHongera mkuu kwa kupata ulichokuwa unakitafuta..!
Wengine hapa walikuwa wanakukebehi bila kutambua kwamba dunia hii ni tofauti kabisa na jinsi wanavyofikiria, kama kwako ni usiku kwa wengine ni mchana.
Hahahahahaha hatari sanaKanunue hard disk...then ifunge kwenye redio itafanya kazi kama laptop.
Nashukuru mkuu. Wengi wanadhani mahitaji yao yanafanana na kila mtu. Zamani desktop tulikuwa tunanunua kwa laki saba mpaka milioni, lakini uliza sasa,hata kwa laptop changes zinafika huko pia ingawa kuna brands ambazo huchukua muda kuwane/kuchuja lakini nazo hukumbwa na changes zitokanazo na kupitwa na wakati. Anyway ,nashukuru kwa michango yenu,hili ni jukwaa la wengi na linatusaidia wengi, hao mamilionea wanaosubiri mtu wa kununua laptop kwa milioni tatu, nao ni wenzetu pia.Hongera mkuu kwa kupata ulichokuwa unakitafuta..!
Wengine hapa walikuwa wanakukebehi bila kutambua kwamba dunia hii ni tofauti kabisa na jinsi wanavyofikiria, kama kwako ni usiku kwa wengine ni mchana.
Haa haa haaa mkuu unaua bendiKanunue hard disk...then ifunge kwenye redio itafanya kazi kama laptop.
tupia picha mkuuMini laptop kwa laki unapata
Ram 2mb
Hard disc: 8gb