nimuulize au nipotezee

Communication katika mapenzi ni muhimu sana. miez mitatu ni mingi inawezekana kaona ahiweke pembeni kistaarabu baada ya kukuona husomeki na hutamfaa in future. kaeni chini umuulize whats wrong

ndo maana nimestuka
 
unapolileta tatizo dogo kama hli hapa unaonekana wewe bado mtoto na akili haijakomaa.. Kazania masomo.
Unakizembesha kichwa kusudi na kuwaza kuja sumbua watu hapa..

hakuna tatzo dogo ww
 
huyo tayari si wako labda tu uende kuconfirm tu kumalizia ulichobakiza!
 
wamamme wa mgombani siku hizi wa kukaa nao mbali!! wewe wa wapi LEVEL. ni swali tu ili nidigest sababu za ukimya wa kipenzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…