masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,466
- 19,695
Mwanamke mjasiri waMkuu nimeleta maudhui bado sijaoa nahitaji uchambuzi wenu nipate nguvu ya MAAMUZI sahihi
Oa kipenda roho chako [emoji2957]Habari zenu wana mmu !
Binafsi niko poa ila kuna jambo linaniumiza sana akili. Kuhusu hatma ya MAISHA yangu kimahusiano.
Amebeba mimba ya Mume wake,so umesikia jamaa kasema ni Mke wa pili.Mwanamke mjasiri wa
@
1.amebeba mimba ya mume wa mtu
2.analala na wewe akiwa mjamzito wa mimba ya mtu
Trust me ujasiri wake ni mbaya hana uoga na mwanamke asie kua muoga hata wewe huko mbele anaweza kukupiga tukio
Hiyo mimba ina miezi mingapi?
Naamini huyu ndo unampenda hao wengine huwapendi
Lakini huyu ndo ana hiyo changamoto.
Cha kwanza watoe kwanza kwa equation hao wengine
Cha pili analyze hayo mambo hapo juu kuhusu huyo mwenye mimba
Cha mwisho kama huyu utamuondoa pia andaa mkeka mpya ila hao wengine usiwaoe maana ni dhahiri uwafeel utawachoka mapema
Kwanza mie kama mzinzi nambari moja hapa jf nakupa pongezi kwa kuendeleza uzinzi na kunihakikishia mie na Evelyn Salt kuwa tutakuwa na compnay huko mottoni🤣🤣🤣🤣Habari zenu wana mmu !
Binafsi niko poa ila kuna jambo linaniumiza sana akili. Kuhusu hatma ya MAISHA yangu kimahusiano.
Tangu niachane na mke wangu mwaka 2019 sikuwa mtu wa imani na ndoa ila kadri muda unavyozidi kwenda naona maji yanazidi unga.
Katika maandalizi ya kusaka mke nilianza kwa binti E** huyu binti kiukweli ni mdogio kiumri ni wa 2002 nikamtongoza na kunielewa na mzigo nikala.
Binti wa pili anaitwa A***H huyu mdada ni pregnant nilijaribu kumuuliza akaniambia mumewe anamfanya Kama mke mdogo. Mumewa ana mke na mtoto wanaishi kahama. Huyu binti kiukweli anadai ananipenda kuliko mumewe na yupo tayari kuachana na mumewe ili awe mke wangu
Kiukweli nae nilishamla.
Wa tatu anaitwa E***A kidizaini huyu binti ni mkarimu na mwenye heshima, anatii wito na Hana pingamizi lolote kwangu ninapomuhitaji kiukweli anajitolea Sana kwangu pia hajui KUOMBA HELA Ila nae nilishamla.
Wengi husema mapenzi ni hisia nisiwe muongo
Kwa E** sifeel chochote I mean sifurahii penzi lake na ni mvivu kitandani na sijawahi ku cum kwake nimejaribu kumwambia tuachane naona haelewi.
Kwa A***H huyu Dada anajua utamu wasl MRUNGURAA yaani tukikutana kesho shuka lazima zifuliwe nimtamu kupita wenzake kiukweli naridhika anaridhika na Mimi and SHE IS MY CHOICE. But vipi kuhusu mimba na baba muhusika wa hiyo mimbaa HAPO NDO KICHWA KINAUMA.
Kwa E***A huyu Dada nilisex nae anajituma sana kitandani ila haoneshi kuitikia mikito I mean anajituma kuni satisfy Mimi TU hii inanipa wasiwasi Sana Kuna mengi nayaona mbele ya MAISHA yetu ya ndoa ndio maana nasita kumpa IDHINI kuwa Mke.
Kwa namna nilivyoeleza nahitaji ushauri kuoka kwenu ni Nani nikuweke ndani awe mke ?
TAMATI
Mwenye ujauzito ndio chaguo langu ila shida ni baba mwenye hio mimba ITAKUWAJEEE?
MKUU NAJARIBU KUWA MBISHI ILA MAWAZO YAKO YANANIFUNGUA KIFIKRAMwanamke mjasiri wa
@
1.amebeba mimba ya mume wa mtu
2.analala na wewe akiwa mjamzito wa mimba ya mtu
Trust me ujasiri wake ni mbaya hana uoga na mwanamke asie kua muoga hata wewe huko mbele anaweza kukupiga tukio
Hiyo mimba ina miezi mingapi?
Naamini huyu ndo unampenda hao wengine huwapendi
Lakini huyu ndo ana hiyo changamoto.
Cha kwanza watoe kwanza kwa equation hao wengine
Cha pili analyze hayo mambo hapo juu kuhusu huyo mwenye mimba
Cha mwisho kama huyu utamuondoa pia andaa mkeka mpya ila hao wengine usiwaoe maana ni dhahiri uwafeel utawachoka mapema
Ya Kwanza nilioa single Maza hivyo hakuwa na staha na ndoaNdoa ya kwanza imekushinda na hii lazima uangukie pia..hujatulia
Sawa,utaleta mrejeshoYa Kwanza nilioa single Maza hivyo hakuwa na staha na ndoa
Namuhofia MUMEWEOa kipenda roho chako [emoji2957]
Mkuu haina tatizo wataingeza mengi mengine wengine , [emoji120][emoji120][emoji120]Kwani lazima uoe !???
Ni kusumbua watu tu na michango, pia ndoa ni mkataba ambao kuuvunja una gharama kubwa sio economically tu, bali emotionally na kuumiza third parties...
Kama hauna uhakika it means haupo tayari kufunga hii contract...
Samahani sijasoma kwa undani hence huenda nime-miss the point
Kitendo Cha kutokuonesha kufeel tendo kinaniumiza kichwa ila ahsante nitajaribu kufanya uaChukua nama E,hiyo mamba ndio nimetoka juzi juzi tu.
Nina mtoto niliempata na ex wife na huyu mtoto anahtaji malezi ya mama inanibidi NIOEKwanza mie kama mzinzi nambari moja hapa jf nakupa pongezi kwa kuendeleza uzinzi na kunihakikishia mie na Evelyn Salt kuwa tutakuwa na compnay huko mottoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushauri wangu mie ni kwamba wala usioe yoyote kati yao. Wote ni nuksi tuu mwanawane wee endelea kugegeda tuu.
Malaya hapana kwa kweli [emoji44][emoji44]thubutuuuuu utuletee mrejesho,amna mwanamke apo nakama yupo sio wako,kama anaweza kumcheat mume wake akiwa na mimba nikip kitamshinda kuku cheat ww wakat ukiwa mume!?!?
Tumia akil kuchagua acha mihemko,ata malaya wanaojiuza wanaweza kukupa show nzuri kwaiyo nawao unaweza kuoa!?!?
Sitoacha mkuu [emoji120][emoji120][emoji120]Sawa,utaleta mrejesho