Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Mwenye ujauzito ndio chaguo langu ila shida ni baba mwenye hio mimba ITAKUWAJEEE?Oa mwenye takle kubwa...utakuja kunishukuru badae.
#MaendeleoHayanaChama
Mwenye ujauzito ndio chaguo langu ila shida ni baba mwenye hio mimba ITAKUWAJEEE?
Kama ana takle la haja we chukua tu..mimba kitu gani bhna na ushapenda.Mwenye ujauzito ndio chaguo langu ila shida ni baba mwenye hio mimba ITAKUWAJEEE?
Mkuu wengi hunena kidole kimoja hakivun I chawa punfuza jazba ,[emoji16][emoji16]Moderators msituangushe kumpiga ban Mleta mada la maisha.
Utamu apate yeye, chaguo sahihi la mke atushirikishe Me wengine, si dharau hizi [emoji848][emoji57]
Mkuu nimeleta maudhui bado sijaoa nahitaji uchambuzi wenu nipate nguvu ya MAAMUZI sahihiYaani mtu ana mimba halafu analalwa na mwanaume tofauti we inahisi akili yake Iko sawa huyo?ngoja zamu yako ifike
Akili mtu wangu.Mkuu nimeleta maudhui bado sijaoa nahitaji uchambuzi wenu nipate nguvu ya MAAMUZI sahihi
Mkuu NIMEKUELEWA ngoja nchukue na maoni ya wengine [emoji120][emoji120]Kama ana takle la haja we chukua tu..mimba kitu gani bhna na ushapenda.
#MaendeleoHayanaChama
Aiseee ndio maana mi napinga ule msemo wa UTAMALIZA MABUCHA NYAMA NI ILE ILE.Umenikumbusha mkuu Kuna jamaa alipenda demu kumbe ana pacha wake,jamaa anakula mzigo huku na huku akijua ndo yule yule
Sasa kilichomshangaza mmoja akiwa anakula ni mtamu kushinda yule mwingine akawa anajiuliza hii imekaajee hii na yule demu hakuwai mwambia kwamba Nina pacha wangu
Mbona unanifumba mkuu Nena kiusanifu nijue mbivu na mbichiOa mwenye takle kubwa...utakuja kunishukuru badae.
#MaendeleoHayanaChama
Superb IDEA mkuu [emoji120][emoji120][emoji120] sanaHuyo mke wa mtu sikushauri yasije yakakukuta makubwa, yakikushinda kwa waliobaki futa anza na moja.
Mkuu mimi MWANAUME niolewe Tena ?? [emoji44][emoji44][emoji44]Kwa hili linalokuchanganya nakushauri na wewe tafuta mume uolewe
Sasa ndo kinachomkumba jamaa yetu anawapima mademu zake kwenye shoo wakati kitu ni ile ile anasahau kwamba muonekano sio inshu,inshu ni undani wao ambacho ndo kigezo kikuu cha kumpata mke wa ndoto zakeAiseee ndio maana mi napinga ule msemo wa UTAMALIZA MABUCHA NYAMA NI ILE ILE.
Kweli kabisa hauko fair hata kidogo, mara 100 ungetushirikisha kuchakata vipochi manyoya hapo ungekuwa Shujaa [emoji16]Mkuu wengi hunena kidole kimoja hakivun I chawa punfuza jazba ,[emoji16][emoji16]