Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,354
Hujui dini . Ndio maanauongo dhambi mkuu mi sijaelewa
inawezekana mkuu ngoja nisome tena kwa umakiniHujui dini . Ndio maana
Ukisoma sawa usiposoma sawainawezekana mkuu ngoja nisome tena kwa umakini
nimeluelewa sasa iko hivi wengi ni waongo hata bible ilisema wataibuka manabii wa uongoNimekaa nimewaza jambo fulani ,
Hivi kila mahali kuna manabii.
According to the bible kuna watu badhii walikuwa manabii. Ila saivi kila kona ya nchi manabii wapo sasa najiuliza kila mtu ameagizwa tanzania au africa kuwaokoa kilichopotea??
Je wewe??Kuna sehemu nilisoma, wanasema ni 'advancement of witch doctors'; badala ya kutumia nyembe na vibuyu, sasa hivi unapigwa neno, maji, na mafuta.
Hawa kuambiwa watumie vibayaBiblia ,dini na fix zote za kiimani , ndio zimezaa hayo mapandikizi kwa mgongo wa imani , na fix za kiroho.
Bado sijapata mtazamo mpya, labda nitafute kitabu kingine nisomeJe wewe??
Msumbufu kweli wewe🙌🏿nimeluelewa sasa iko hivi wengi ni waongo hata bible ilisema wataibuka manabii wa uongo
Waukweli hamnaManabii wapo wengi Kila nchi...
Kazi kwako kujua wa kweli na uongo...
😂😂 nna usumbufu gaNi mkuuMsumbufu kweli wewe🙌🏿
Ni dhahiri ushatafuta sana miujiza.Waukweli hamna
Hao wengi ni waganga wa kienyeji wenye kujificha kwenye suti. Agenda yao ni moja tu kuiba,kuchinja na kuangamiza kama afanyavyo Baba yao ibilisi tangu zamani. Hawana kukemea dhambi, toba ya msalaba wala emphasize ya maisha matakatifu kwa uzima wa milele. Watakokota wengi kuzimu, kama watu wakikosa maarifa.Nimekaa nimewaza jambo fulani ,
Hivi kila mahali kuna manabii.
According to the bible kuna watu badhii walikuwa manabii. Ila saivi kila kona ya nchi manabii wapo sasa najiuliza kila mtu ameagizwa tanzania au africa kuwaokoa kilichopotea??