<br />
<br />
we umenena! Mwanamke akipewa kazi ya uhakika huwa anasahau mambo mengine yoote.mwaka wenyewe mmoja ? hebu jamaa ajitafakari mambo yake ya ulingoni
mh...! ushauri mwingine bwana... Unaua bendi.
Kwa wanawake wengi tumejijengea kasumba kuwa ni lazima mwanaume awe mkubwa (kiumri), ila kiukweli mapenzi hayachagi umri. Ukiona hivyo ujue penzi lake kwako linafifia. Jaribu kuongea naye, ukiona hakuelewi anza kujisachi mapema, kwani ipo siku utapata mshangao kwa kugundua kumbe yuko na mtu aliyemzidi umri.