issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,137
oa mke wa pili atajitahid kukufanyia yote hayo unayotaka
Kwani sasa hivi hakuna marijali? Au wewe ndiye una bahati mbaya ya kukutana na wasio marijali? Na kuhusu michepuko nataka nikufahamishe tu kuwa hakuna jipya chini ya jua yote yanayo tokea yalikuwepo tofauti ni watu tu na majiraWakati ule wanaume walikuwa maRijali, hawana tamaa na hakunaga michepuko!!