Jamani nimezama kwa mapenzi sijui kama nitazuka naiona hali yangu taabani,wenzangu nawauliza nini dawa ya mepenzi waganga nimemaliza wa makombe na hirizi ,ilahi mola muweza ataniafu mwenyezi.
Nimezama kwa mapenzi sijui kama nitazuka,kujikwamua siwezi taabani nateseka ilahi mola mwenyezi ataniafu rabuka.nimezama mwenzenu katika kina nimebaki natizama lakutenda sina tena,Ilahi mola karima ataniafu rabbana.
Nimezama nimezama katika kina kirefu kila nikijitazama moyoni napata hofu,ilahi mola karima ndie mwenye kuniafu.nimezama nimezama kwenye bahari ya huba moyo wangu walalama unalia ,ilahi mola karima taniepushia adhabu,naiona hali yangu mimi nimedhoofika.
Nini dawa ya apenzi ?
Subiri kufa tu kama umezamaJamani nimezama kwa mapenzi sijui kama nitazuka naiona hali yangu taabani,wenzangu nawauliza nini dawa ya mepenzi waganga nimemaliza wa makombe na hirizi ,ilahi mola muweza ataniafu mwenyezi.
Nimezama kwa mapenzi sijui kama nitazuka,kujikwamua siwezi taabani nateseka ilahi mola mwenyezi ataniafu rabuka.nimezama mwenzenu katika kina nimebaki natizama lakutenda sina tena,Ilahi mola karima ataniafu rabbana.
Nimezama nimezama katika kina kirefu kila nikijitazama moyoni napata hofu,ilahi mola karima ndie mwenye kuniafu.nimezama nimezama kwenye bahari ya huba moyo wangu walalama unalia ,ilahi mola karima taniepushia adhabu,naiona hali yangu mimi nimedhoofika.
Nini dawa ya apenzi ?
Tupotupo ,ila kwenye siasa ,nipo nafuatilia kwa karibu ,nasubiri ripoti ya Escro ,na kwa vile inatishia kuanguka kwa serikali,ni bora usikilize mshindo,haina haja ya kupoteza nguvu kwa sasa. Wacha niweko huku nijifurahishie.Kimekupata nini Mkuu Mwiba hadi kuhama kutoka Jukwaa la Siasa na kujichimbia huku?