Nimeweka record leo mlima kitonga.

Kumbe sikucheza mbali na uhalali wako.....Kigoma si ndiyo? Nyie Waha mnatisha kwa ushirikina jamani. Mambo mliyomfanyia Mze Mzindakaya mpaka akakimbia Kigoma si haba.
Hahahaaa ..ni shida bt kabila tu mkuu nimekulia mbal na kule
 
huyu jamaa lazima ni mtu wa magazeti,sio kawaida...
Hapana mkuu..ni utundu ktk uendeshaji tu niko ivo nishazoea mi kukimbia ..ila hao wamagazet ni noma pia japo kuna siku nishakimbizana nao hao sana tu..
 
Madereva wa kusafirisha magari utawajua tuu!!
(Haha)

Unajua, njia ukishaizoea inakua n fupi.
Yeah njia ukiizoea fup sana..cz si unaelewa nikifika hapa bdo kipande flan..natembea kwa mda gan so inakuwa ivo
 
Usijekurudia siku Ingin
e ni hatari kwa afya yako tusije tukakuimbia parapanda ishalia parapandaaaaa
 
Endless tu ipo siku yako. Maana kuna masemi trella huwa yana park humo pembeni bila reflector. Kipo utakachokipata siku moja
 
Endless tu ipo siku yako. Maana kuna masemi trella huwa yana park humo pembeni bila reflector. Kipo utakachokipata siku moja
mung mlinz wang mkuu..ucwaze yu pamoja nami
 
Jana jmn ndo kwa mara ya kwanza kuona na chui..ple mikumi mbugan.
Siku zote nilizopita ple cjawah muona uyu kiumbe na nilikuwa naamin inaweza ikawa.akuna chui..lkm jana daa lile.dude nililoliona mwil ulisisimka kidogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…