Nimewamiss jamani humu ndani

masai gel

Senior Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
125
Reaction score
42
Nina muda kidogo sijaingia humu nimewamiss washkaji jamani,Nawapenda na Natafuta Mwenza bado...
 
Nina muda kidogo sijaingia humu nimewamiss washkaji jamani,Nawapenda na Natafuta Mwenza bado...

kuna mdau MMU alikuwa anatamani sana kuoa binti wa kimasai.. sijui aliishia wapi?
 
kuna mdau MMU alikuwa anatamani sana kuoa binti wa kimasai.. sijui aliishia wapi?

Yap masai girl nenda kule love connect, kuna kijana wa kisukuma anataka "takwenya"
karibu tena cc masai girl na uspotee tena.
 
Yap masai girl nenda kule love connect, kuna kijana wa kisukuma anataka "takwenya"
karibu tena cc masai girl na uspotee tena.

kijana... kwa hiyo ukaona uniquote mimi... si ndio?

naona unatamani kula nyasi eenh!
 
dogo anzisha forum yako ya kisukuma.
ustaarabu hauuzwi

mi msukuma??? mimi??

aisee.. ngoja niandae KJ 325 waje wakuvurumue humo tandale unakoishi kulaleki!
 
Hhahahahaha i mean utakosa mke ohoooo hivi hiyo sura since when imekuwa acid proof
mbele ya king unanyweaje
Mwanyasi keshazeeka mama watoto!!!

muone anavyo-'tia' huruma!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…