Kila shetani na mbuyu wake.
Unachokikataa wewe mwingine kinamnyima usingizi.
Wewe kama unapenda Automatic, kuna wengine wanapenda Semi automatic, gear 5/6/10/12.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "Mizigo mizito waachie wanyamwezi".
Hizo ngoma ni za wanyamwezi wateule waachie uone wanavyoikokota kama Scania ya gia 16 na mzigo wa tani 38.