Nimeumia sana

Daaah pole sana dada,mpaka nimekojoa(nko chooni najisaidia wadau msifikirie vbaya),kifup amekukosea na amekuweka katika mtihan wa kusaliti,muelezee n mbaya alichokufanyia,ukichepuka asikulaumu maana kuna vijana ambao wakijua wew n mali ya mtu unapigwa show ya kibabe mpaka anasimamia ukirud nyumban n kuilowanisha maji kupunguza moto,napita dada
 
Mmm ulivyomwona alikuwa sawa isije kuwa shida iko kwake upande wa mtarimbo uko doro
Yuko sawa kabsa anaogopa mimba ety kisa nmetoka period Jana... Loooh

am better here
 
Ni kweli mkuu

am better here
 
Mamaaaaa! Njoo wangu simba wanacheza Mzigoo umejaa yaani hajakutendea haki nahis kakuzoea sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…