Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,691
Ni vema ujinyonge,maana mpaka 2060,kweli utaweza kuvumilia?
Andaeni kwanza Viongozi .Acheni kuokoteza watu waliokataliwa na CCM ndio mtashinda Uchaguzi. Hakuna Mtanzania mjinga atakayewapa upinzani waende Ikulu.Watapata kura kwenye Mikoa yao tu!Wanajamvi naomba mnisaidiye kunitaftia dawa ya kupunguza kuichukia cCM. Yani naichukia mpaka naugua kabisa. Leo kidogo ndyo nmepata hauweni. Jana nili patwa na homa kali kisa kile kijembe cha mkulu.
Yana nashindwa nifanyeje. Uwezo wa kuhama nchi sina. Naombeni msaada wakuu. Nimeanza kudhoofika sana.
Uo ni ushauri wa kinafiki.Andae
Andaeni kwanza Viongozi .Acheni kuokoteza watu waliokataliwa na CCM ndio mtashinda Uchaguzi. Hakuna Mtanzania mjinga atakayewapa upinzani waende Ikulu.Watapata kura kwenye Mikoa yao tu!
Asante mkuuPole ndugu
Hakuna namna maana upinzani wanashindana na mshindani asiyejua kuna kushindwa, wala hayupo tayari kushindwa!!! Ushauri tuachane na mambo ya uchaguzi ni gharama na upotezaji wa muda tu!!Wanajamvi naomba mnisaidiye kunitaftia dawa ya kupunguza kuichukia cCM. Yani naichukia mpaka naugua kabisa. Leo kidogo ndyo nmepata hauweni. Jana nili patwa na homa kali kisa kile kijembe cha mkulu.
Yana nashindwa nifanyeje. Uwezo wa kuhama nchi sina. Naombeni msaada wakuu. Nimeanza kudhoofika sana.
Ndugu yangu hata ukiwa na TUME HURU ndio tumchague Lowassa au Sumaye kuwa Rais wakati tunajua rekodi zao huko nyuma?Uo ni ushauri wa kinafiki.
CCM hawajashinda ukitaka kupata uhakika Fanya data verification kisha ongezea Polisi,Wakurugenzi Makada na Tume ya CCMWanajamvi naomba mnisaidiye kunitaftia dawa ya kupunguza kuichukia cCM. Yani naichukia mpaka naugua kabisa. Leo kidogo ndyo nmepata hauweni. Jana nili patwa na homa kali kisa kile kijembe cha mkulu.
Yana nashindwa nifanyeje. Uwezo wa kuhama nchi sina. Naombeni msaada wakuu. Nimeanza kudhoofika sana.
Panda feri kisha rukia baharini au ziwani, ndo dawa ya mtu mwenye ugonjwa wa HUSUDA Kama wewe !Wanajamvi naomba mnisaidiye kunitaftia dawa ya kupunguza kuichukia cCM. Yani naichukia mpaka naugua kabisa. Leo kidogo ndyo nmepata hauweni. Jana nili patwa na homa kali kisa kile kijembe cha mkulu.
Yana nashindwa nifanyeje. Uwezo wa kuhama nchi sina. Naombeni msaada wakuu. Nimeanza kudhoofika sana.
Hii ndiyo DAWA:Wanajamvi naomba mnisaidiye kunitaftia dawa ya kupunguza kuichukia cCM. Yani naichukia mpaka naugua kabisa. Leo kidogo ndyo nmepata hauweni. Jana nili patwa na homa kali kisa kile kijembe cha mkulu.
Yana nashindwa nifanyeje. Uwezo wa kuhama nchi sina. Naombeni msaada wakuu. Nimeanza kudhoofika sana.
pole dawa ni iyo iyo CCM meza kutwa mara tatu utaponaWanajamvi naomba mnisaidiye kunitaftia dawa ya kupunguza kuichukia cCM. Yani naichukia mpaka naugua kabisa. Leo kidogo ndyo nmepata hauweni. Jana nili patwa na homa kali kisa kile kijembe cha mkulu.
Yana nashindwa nifanyeje. Uwezo wa kuhama nchi sina. Naombeni msaada wakuu. Nimeanza kudhoofika sana.