kwa hiyo unataka sisi tufanye nini sasa?
msaidie watu8
Daah sometime unaweza ukabaki kama bubu pale unapokutana na msichana mzuri na kushindwa uanze vipi kumueleza hisia zako kiukweli nilijikuta nashindwa kumwambia ukweli kwa kumwangalia na kusifia kisha akaondoka zake nami nikabaki nimeganda kama barafu kwa kumwangalia akiondoka na mwendo mzuri mithiri ya twiga. ila one day yes nitakutana nae tena!!
Si kama siwezi kutongoza ila uyu demu kwauzuri uliopitiliza kweli nimeshindwa mie.