wakuu leo katika pitapita nikakuta cmu samsung s duos et inauzwa 110,000Tshs bac nilishtuka kidogo nikauliza ni mchina nikajibiwa n original na kuna box lake imeandikwa 24months warranty.Je ni kwel hiyo cmu original au ndo mchina ila nataka ingizwa mjin?:help: