Nimesahau pattern za simu naomba msaada

tyson.N

Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
23
Reaction score
9
Guys msaada kwa anayejua.

Nimesahau pattern za cm yangu ninataka kufanya hard reset but nkifka ktk recovery mode inanionesha white triangle with yellow exclamation mark.
 
Msaada mzuri utakaopata ni baada ya kusema aina ya simu na model number
 
simu ni M-HORSE model: 610
ukiingia kwenye recovery jaribu kubonyeza power button ikikataa jaribu volume keys yaan up or down ikikataa jalibu menu key mojawapo itakubalia
 
ukiingia kwenye recovery jaribu kubonyeza power button ikikataa jaribu volume keys yaan up or down ikikataa jalibu menu key mojawapo itakubalia

Nmejarbu button zote lakn imegoma, kama kuna njia nyingine plz.
 
unatumia simu ya aina gan
 
Jaribu hii itakusaidia zima simu yako toa betri kama seconds 20 iv lirudishie alaf bonyeza button ya power volume up na home kwa wakati mmoja then ufuate maelkezo.
 
jaribu hii itakusaidia zima simu yako toa betri kama seconds 20 iv lirudishie alaf bonyeza button ya power volume up na home kwa wakati mmoja then ufuate maelkezo


nimejarb lakn haijakubal. njia nyingne guyz
 
Ingia kwenye recovery jaribu kubonyeza menu button ikikataa jaribu volume up ikikataa jaribu power button au volume down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…