Sasa hata kama nimeiba inawahusu nini nyie kama sio viherehere.Kama mnajua nisaidieni kama hamjui pigeni kimya.
Download Hirens hii tool ni kama partPE wakati wa windows XPNtafanyaje wakuu kuna vitu vya muhimu mule ndan
Download Hirens hii tool ni kama partPE wakati wa windows XP
Burn Bootable CD halafu Boot kutoka kwenye CD baada ya hapo ndani kuna tool za kuondoa password au kubadilisha
Nipe mshindo nyuma baada ya kufanikiwa
Pakua hapa
Download Hirenâs BootCD 15.2 | HBCD Fan & Discussion Platform
Akupa MSHINDO NYUMA,,!!??????
Mambo gan tena haya?
Feedback kwa kiswahili.
Ntafanyaje wakuu kuna vitu vya muhimu mule ndan