Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Shukrani mkuuKuteleza sio kuanguka
Naandika hapa nikiwa na stress za mwendo kasi Mara upweke nikikumbuka wale watoto wangu wawili niliowaacha Portugal baada ya children support kunielemea na kushindwa kabisa niliamua nikimbilie ka nchi chengine jina kapuni sasa hali inayonikuta ni upweke wa hali ya juu!nyuma siwezi kurudi wala home siwezi kwenda kuowa tena nimeamua sasa nimvizie hata mtz mwenzangu huku lakini naona wamekaa kimaslahi sana sasa bora nivizie demu wa kichina kama nitambahatisha hapa!nahitaji maombi yenu wakuu stress zisizidi zaidi ya hapa!
Hahahaaa![emoji2] [emoji2]Poleeee sana nipm kwa ushaur zaid
Watoto nawaona tu kwenye status za WhatsApp mkuudah watoto ndio huwapati tena au?
Tembea utajifunza mengi!Wanaume wa Darisalama mpaka mamtoni
Japo wabishi sana kuoga!lakini hakuna jinsi[emoji1]Wachina hawajui mapenzi.[emoji23]
Sipo China mkuu!kuishi China kama Hujui udalali utakimbia mwenyeweKumbe upo china
Shukrani kwa mchango wako mkuuMwanamme hakati Tamaa,shukuru mwenyezi mungu bado mzima na una afya,jipange upya usiji stress sanaa,na kukimbia watoto sio jibu la kua na amani ndani ya moyo pambana hata kama uko mbali fanya kazi kwa bidii watumie japo kidogo.
Tembea utajifunza mengi!