Nataka nipate idhini ya mshana jr tucheze movie ya Ras Nyoka, Mie ndio kubwa LA maadui muendesha fiber boatHatari huko!!
Kuna mtu anaitwa "Rasta nyoka"
Huamini muulize mshana jr
Ila tupige dua dangote asikongokoe kiwanda jamani manake anaambiwa hata vipuli eti akachonge Mang'ula mechanical engineering!!! Sasa hii si balaa jamani?
Acha DhambiHausomeki?
Dangote ni mama yako mwil ukasisimka.Wana bodi, nimepishana na pick up Nissan Navara imesheheni spanner za ukubwa tofauti tofauti hapa Mkuranga njiapanda ya kisiju kuelekea nyamisati.
Hii pick up ina watu wawili, dereva na abiria wake, wapo serious sana.
Tulikuwa tunapata wali nazi, nimewasikia wakisema "wiki tatu tutakuwa tumekongoloa kila kitu" wakaendelea "ikizidi sana ni mwezi mmoja"
Mwenzie akapigia chapua kwa kusema "uzuri meli inapakilia Mtwara"
Mwili umenisisimka nikasema isijekuwa ni kiwanda cha dangotre!!!
Na nnaomba isiwe Dangotre kwa kweeli.
Niliondoka kabla yao hivyo sikujua hata muda walioondoka wala mazungumzo yao yaliendeleaje
Kama niliowaona pale mkuranga wanaweza kubahatika kuiona posti hii naomba wajitokeze kututoa sintofaham hii
Wewe sio mlengwa, nawaulizia wale jamaa waliokuwa na hiyo Nissan Navara iliyosheheni spanner.Dangote ni mama yako mwil ukasisimka.
Mmezoea dili.
Kwa hiyo hata spana zilizounda kiwanda zilitupwa wakaagiza upya. Mamanina
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiyo mang'ula mechanical sasa hivi ni st. Mary's secHatari huko!!
Kuna mtu anaitwa "Rasta nyoka"
Huamini muulize mshana jr
Ila tupige dua dangote asikongokoe kiwanda jamani manake anaambiwa hata vipuli eti akachonge Mang'ula mechanical engineering!!! Sasa hii si balaa jamani?
Kwan wewe ni mlengwa ni JOGI DANGOTE IGWEDU??????Wewe sio mlengwa, nawaulizia wale jamaa waliokuwa na hiyo Nissan Navara iliyosheheni spanner.
Wakijitokeza ndio watatatua kitendawili tujue kama wakielekea kwenye kiwanda cha dangotre au walikuwa wanaelekea kwa "Bibi msimbati"