Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

lea tu mzee mbona tunafuga mbwa anazaa na unaweka oda ya mabak buchan na hotelin na umjui baba mbwa,. Huyo ndio mwanamke kiumbe ambacho kikikupenda hukupa hata mtoto asie wako na kukuaminsha n wako
Ni aibu mpaka kwa wazazi wangu mkuu, mbwa husimlinganishe na binadam
 
Ni aibu mpaka kwa wazazi wangu mkuu, mbwa husimlinganishe na binadam
aibu yako itakua kubwa zaid utakapo muachia uyo mtoto na utaumia sanaa ksaikolojia mm nmekujibu k inteljens mana hata kwenye familia zetu za kiafrikausidhan wote mlioko ndan ya familia n watoto wa baba mmoja
 
Mwaka Jana nilikuwa napiga kazi kituo cha afya sehemu kuna mwanamke alikuja anataka kadi nyingine et ya mwanzo alikosea majina ya aliyempa ujauzito analeta noma
Nilivyo mhoji anaonekana kabisa anaenda kupiga mtu kichwani na kitu kizito
M nilikataa kumpa kadi nyingine maana sikutaka kushiriki uharamia
N.B kwenye hizo kadi wahudumu wa afya ambao sio waaminifu wanazifanyia biashara kwenye situation kama hizo
 
Nami naziona dalili hapa kuna kamtu kamekomaa kana mimba kana mimba ila kenyewe kanataka kutoa mm nimekaambia huwa sishiriki utoaji mimba na nitakaruhusu endapo tu kakinithibitishia mimba hiyo sio yangu maana ktk dhambi nisiyoipenda ninkuleleshwa mtoto wa mwingine.

Kamekubali kuwa hakatoi ila kwenye suala la mimba ni ya nani haswa hapo siri kanabaki nayo kenyewe yaani natamani nipate ujanja wa kukabana kafunguje ukweli mimba ni ya nani ila sijaipata hiyo mbinu
Fanya hivi

Kama unakumbuka tarehe uliyosex nae baada ya ya hedhi inote hio siku.

Baada ya wiki 4 au 6 nenda kafanye nae ultrasound,make sure humpi upenyo. Majibu ya ultrasound yatakupa umri wa mimba. Calculate tarehe ulizokutana nae na umri wa mimba uliyoambiwa kwenye ultrasound kama Zina match. Utofauti wa siku 2 au 3 sio big deal maana mimba inaweza isitungwe siku ya sex ikatungwa labda baada ya saa 24(kesho yake)
Mbinu hii inaweza kukusaidia.. lakin pia inaweza isikusaidie ikiwa mwanamke huyo alilala na wanaume tofauti na wewe ndani ya hizo siku 2.

Baada ya kujifungua pima group la damu la mtoto na lako . La mama linakujulikana sababu wanapoanza clinic huwa wanapimwa. Linganisha group lako la damu la mama na la mtoto. Mtoto ni lazima achukue kundi moja la damu either kutoka kwa baba au kwa mama.
Njia hii haikupimi guarantee ya madai yako ila walau inakupa nafasi ya kuanzia au njia ya kuanzia. Mfano baba group o+ mama group o+ mtoto group A+ hilo group A+ mtoto kalitoa wapi.!?

Mengine njia za asili tu... huwa nasikia mwanaume pia hupata baadhi ya maswahibu yale yanayowapata wanawake kama kusikia kichefuchefu,kulala sana, kuchokachoka.. n.k

Sent from my SAMSUNG-SM-N920A using JamiiForums mobile app
 
Mwaka Jana nilikuwa napiga kazi kituo cha afya sehemu kuna mwanamke alikuja anataka kadi nyingine et ya mwanzo alikosea majina ya aliyempa ujauzito analeta noma
Nilivyo mhoji anaonekana kabisa anaenda kupiga mtu kichwani na kitu kizito
M nilikataa kumpa kadi nyingine maana sikutaka kushiriki uharamia
N.B kwenye hizo kadi wahudumu wa afya ambao sio waaminifu wanazifanyia biashara kwenye situation kama hizo
Hongera kwa hilo mkuu ulifanya jambo la uaminifu kanisa
 
Mwenyewe kuna demu kajifungua juzi tunahudumia wawili koo sikutaka hata kuuliza jina la kadi.

Koo hapo mmoja lazima atalia badae mm au mwenzangu
Mimi ilinitokea tulikua tunahudumia wanaume watatu ila mwanamke alikua bado anaishi kwao lakini mtoto alipokufa ndo nikajua ivo mana siku ya msiba kuna mama alisafiri akaja kwny msiba akasema mwanae ameshindwa kuudhuria msiba wa mwanae sababu kaenda masomoni, wafikwa wa msiba pale kwa mwanamke walistaajabu inakuwaje uyu mama anaongea hivi mbona mwenye mtoto yupo eneo la tukio na kashiriki hatua zote.Naomba niishie hapa..............
 
Teh!
 
Back
Top Bottom