Nimepata ujauzito, nishaurini jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya mwili

Adui wa mwanamke ni mwanamke.
Napenda sana mjazito, nitamdekeza hadi atakua anakumbuka na kutamani kutiwa mimba tena
Hebu umeache careenjibebe wangu
DA71CB09-70EA-4E52-9775-B66088F55924.jpeg
 
Msweet: nasema kweli, nikionaga mjazito hasa asiye na kisirani nachanganyikiwa, nao ghafla huwa wanajikuta wananikubali
Kama unayo niambie plz
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Msweet: nasema kweli, nikionaga mjazito hasa asiye na kisirani nachanganyikiwa, nao ghafla huwa wanajikuta wananikubali
Kama unayo niambie plz
Umesema asiye kisirani ee??mimi nilijua I nawapenda hata hao visirani😁
Siku nyingine usiseme adui wa mwanamke ni mwanamke kama unachagua wajawazito wa kuwapenda.

Siku ukimpenda na huyo mwenye kisirani basi adui wa mwanamke ni mwanamke 😁Hallelujah
 
Umesema asiye kisirani ee??mimi nilijua I nawapenda hata hao visirani
Siku nyingine usiseme adui wa mwanamke ni mwanamke kama unachagua wajawazito wa kuwapenda.

Siku ukimpenda na huyo mwenye kisirani basi adui wa mwanamke ni mwanamke Hallelujah
visirani hapana
 
Back
Top Bottom