Nimepata tatizo la kifua kubana na kichwa kuuma

Kifua kinabana tu na kichwa kinauma sehem za katikati kuhusu dizziness , poor vision na nausea cjapata hayo matatizo
Gesi/vidonda vya tumbo.

Nilipitia hyo Hali,Regency Kila week nilienda kupima yote hayo mpaka Muhimbili.Alikuja jua mhindi mmoja ni gesi,mpaka leo nikajua Tatzo langu na namna ya kulicontrol
 
Gesi ipo kwa tu kwa tumbo ( GERD) kuna mtu nipo nae huwa Anahisi hivyo hvyo namwambia tu bado haijakolea Mana usingizi hutoupata cku zinavyozidi kwenda

Acid reflux inakuwa ni ngumu kuielewa ikianza nilishawahi kumfata doctor na kusema nna korona akacheka tu ndy akanambia nna Nini .
 
Gesi/vidonda vya tumbo.

Nilipitia hyo Hali,Regency Kila week nilienda kupima yote hayo mpaka Muhimbili.Alikuja jua mhindi mmoja ni gesi,mpaka leo nikajua Tatzo langu na namna ya kulicontrol
Unalicontrol je wewe yaan nipe hizo mbinu maana daah aise
 
Anza mazoezi kidogo kidogo hata kutembea umbali mrefu.....nilishawahi kuwa na hilo tatizo nikafika mpaka Jakaya Kikwete Heart Institute Muhimbili.....nikapima ECG na ECHO sikupatikana na kitu.....
 
Ww ulifanyaje labda kuepukana na hiyo hali
 
Ila vip ulikuwa unahic je wewe yaan nielezee labda
Kifua kilikuwa kinanibana balaa......
naweza nikakaa nikasikia maumivu makali kifuani natulia jasho linanitoka baada ya muda hali ya kuumwa kifua inarudi tena........
 
Vidonda vya tumbo mkuu, pia napitia hiyo hali inakera balaa. Jitahidi kucontrol ulaji wa vyakula vya gesi.
 
izo dawa za ugonjwa gani?
 
Ukiamka Asubuhi fanya mazoezi dakika 15 hadi 30 (kuruka kamba) inatosha.

Mchana usifanye kazi za kukaa muda mrefu kwenye kiti bila kutembea.

Kama wewe ni mtumiaji wa gari binafsi acha kwa muda. Tembea kwa miguu kula siku kwa muda hata dakika 30 asubuhi na jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…