Luvako1991
Member
- Jul 27, 2021
- 14
- 6
hizo ni dalili za pressure umepima pressureNaombeni ushauri ninatatzo la kifua kubana, iko hivo kifua kilinibana ghafla tangu mwaka Jana, nashindwa kupumua vizr , na kichwa kinaniumwa muda mwingine nakua nayaona mapigo ya moyo unadunda nikiwa nimetulia.
Jaman nimefanya vipimo kwenye hospital kubwa kama vile bugando na mhimbili lakin tatzo halionekan tatzo lenyewe ni hivi nikiamuka asubuhi nakuwa najihisi kabisa nipo vizuri ila kadiri ya muda unayoenda nahisi kuchoka na kifua kubana zaidi nimefanya vipimo kama vile ECHO, ECG , CHOLESTROL , INHALATION OF LUNG CAPACITY , DAM , OGD , X RAYS LAKIN TAtzo halijaoneka daah yaan hi hali inanichanganya kweli
punguza uzito piga tiz,,,yaani hiyo ni pressureNaombeni ushauri ninatatzo la kifua kubana, iko hivo kifua kilinibana ghafla tangu mwaka Jana, nashindwa kupumua vizr , na kichwa kinaniumwa muda mwingine nakua nayaona mapigo ya moyo unadunda nikiwa nimetulia.
Jaman nimefanya vipimo kwenye hospital kubwa kama vile bugando na mhimbili lakin tatzo halionekan tatzo lenyewe ni hivi nikiamuka asubuhi nakuwa najihisi kabisa nipo vizuri ila kadiri ya muda unayoenda nahisi kuchoka na kifua kubana zaidi nimefanya vipimo kama vile ECHO, ECG , CHOLESTROL , INHALATION OF LUNG CAPACITY , DAM , OGD , X RAYS LAKIN TAtzo halijaoneka daah yaan hi hali inanichanganya kweli
Ndio ipo tu vzrhizo ni dalili za pressure umepima pressure
?
Ipoje hiyo heb nielewesheNawaza tu Kama ungetumia dawa Madagascar
Nauzito 75kgspunguza uzito piga tiz,,,yaani hiyo ni pressure
Sawa ntajitahid broPole sana Mkuu...Jitahidi kufanya mazoezi,maji kwa wingi na kula matunda kwa wingi...Kwa age yako ya 30 haupaswi kuwa na magonjwa hayo ya pumzi.
ndio pressure inaregemeana na muda unaopima hata wenye magonjwa hayo uder normal state niliwahi kupitia huko na mimi ila nilipiga tizi i kawa poa hadii leo...ingia google calculate BMI yako uangalie uko kundi gani??Ndio ipo tu vzr
Nashkru sana kijana ngoja ntarifanyia kazndio pressure inaregemeana na muda unaopima hata wenye magonjwa hayo uder normal state niliwahi kupitia huko na mimi ila nilipiga tizi i kawa poa hadii leo...ingia google calculate BMI yako uangalie uko kundi gani??
QuestionNaombeni ushauri ninatatzo la kifua kubana, iko hivo kifua kilinibana ghafla tangu mwaka Jana, nashindwa kupumua vizr , na kichwa kinaniumwa muda mwingine nakua nayaona mapigo ya moyo unadunda nikiwa nimetulia.
Jaman nimefanya vipimo kwenye hospital kubwa kama vile bugando na mhimbili lakin tatzo halionekan tatzo lenyewe ni hivi nikiamuka asubuhi nakuwa najihisi kabisa nipo vizuri ila kadiri ya muda unayoenda nahisi kuchoka na kifua kubana zaidi nimefanya vipimo kama vile ECHO, ECG , CHOLESTROL , INHALATION OF LUNG CAPACITY , DAM , OGD , X RAYS LAKIN TAtzo halijaoneka daah yaan hi hali inanichanganya kweli
Kifua kinabana tu na kichwa kinauma sehem za katikati kuhusu dizziness , poor vision na nausea cjapata hayo matatizoQuestion
Maumivu ya kifua ni upande wa kushoto?
Maumivu ya kichwa yana ambatana na nausea/dizziness/poor vision?
Anyways have
Prinzmental Variant Angina
Migraine
Tumia
Amlodipine 2.5mg or Nifedipine 20mg
Isosorbide dinitrate 10mg
For migraine tumia
Ergotamine or Sumtriptan
Sodium valproate
Nakushauri utumie hizo dawa au nenda hospital kubwa upate consultation ya PhysicianKifua kinabana tu na kichwa kinauma sehem za katikati kuhusu dizziness , poor vision na nausea cjapata hayo matatizo