Luvako1991
Member
- Jul 27, 2021
- 14
- 6
Naombeni ushauri ninatatzo la kifua kubana, iko hivo kifua kilinibana ghafla tangu mwaka Jana, nashindwa kupumua vizr , na kichwa kinaniumwa muda mwingine nakua nayaona mapigo ya moyo unadunda nikiwa nimetulia.
Jaman nimefanya vipimo kwenye hospital kubwa kama vile bugando na mhimbili lakin tatzo halionekan tatzo lenyewe ni hivi nikiamuka asubuhi nakuwa najihisi kabisa nipo vizuri ila kadiri ya muda unayoenda nahisi kuchoka na kifua kubana zaidi nimefanya vipimo kama vile ECHO, ECG , CHOLESTROL , INHALATION OF LUNG CAPACITY , DAM , OGD , X RAYS LAKIN TAtzo halijaoneka daah yaan hi hali inanichanganya kweli