Hizi nafasi walitangaza lini mkuu?
Wakuu nimeapata kazi ya kufundisha St Francis Ifakara mshahara wao si mbaya sana na wanatoa 15% house allowance.
wanaofahamu mazingira ya kzi hapo vp zaidi ya salary kuna any other benefits. na wakati wa kwenda shule najua wanakusomesha je masharti yao yakoje nisije jiingiza kwenye mikataba ambayo kujinasua itakuwa ngumu. kwa sasa nafanya kwenye shirika binafsi nako mshahara wa kawaida pamoja na top up.
Hawa wa shirika binafsi pia wanaweza kukusomesha ila utatakiwa kulipa deni kwa 5yrs baada ya kumaliza chuo. ambapo mazingira yake si mazuri sana coz pako busy sana. Sasa naomba ushauri kwa anayefahamu terms zao ili zinisaidie kwa maamuzi. natakiwa kuriport kzini March na kusaini mkataba.
Natanguliza shukrani
JF vituko sana. Jamaa kaomba ushauri wewe unamwambia a du dadaz!Hongera. Tafuta mdada mzuri hapochuo mdenti uoe ili upunguze tamaa kwa wadogo zetu. Msalimie Mteketa Mbunge na Wape Pole kwa Msiba wa Mwenyekiti wa Halmashauri
hahahahahahahaha hiii ndo tanzania kila kitu kinawezekana...wanafaulu wanafunzi wasiojua kusoma wala kuandika sembuse hili...?alaaaaaahnadhani huko ulipoacha umemuweka mdogo wako sidhani kama unashndwa kufanya hvyo maana unaonekana channel yako cyo mchezo maana unapata kazi pamoja na mkeo sehemu moja ww noma.