Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,988
- 22,379
Na hapa ndio ajue sasa kwamba atulize akili yakeHiyo kazi niuzie mm nitakupa laki 2 cash!
Acha ufala, wachina ukiwazoea alafu wakikukubali nakupa mwaka mmoja utajikuta na laki nane mwaka unaofwata milionihabari zenu wakuu nimepata kazi kwa WACHINA mshahara laki 4 hakna allowance yoyote ila sina amani nayo kabisaaaa
habari zenu wakuu nimepata kazi kwa WACHINA mshahara laki 4 hakna allowance yoyote ila sina amani nayo kabisaaaa
walitaka kunibakia lilian wangu,nikamwambia acha kazi nitakuwa nakulipa mwenyewe,sijui wamekuwaje siku hizi ndio maana wanavichwa vidogo kama nyokahabari zenu wakuu nimepata kazi kwa WACHINA mshahara laki 4 hakna allowance yoyote ila sina amani nayo kabisaaaa
Kwaiyo siku hizi umeamua uwe unamlipa Lilian wako mwenyewe,walitaka wamfanye nini sijaelewa...walitaka kunibakia lilian wangu,nikamwambia acha kazi nitakuwa nakulipa mwenyewe,sijui wamekuwaje siku hizi ndio maana wanavichwa vidogo kama nyoka
Sales
walitaka kumtafuna mkuu,yaani kula uroda wanamtumia na msg za kiswahili za kumtishaKwaiyo siku hizi umeamua uwe unamlipa Lilian wako mwenyewe,walitaka wamfanye nini sijaelewa...
walitaka kunibakia lilian wangu,nikamwambia acha kazi nitakuwa nakulipa mwenyewe,sijui wamekuwaje siku hizi ndio maana wanavichwa vidogo kama nyoka
Aisee ni maeneo gani naweza kukupa taarifa za kina kuhusu shaka lakohabari zenu wakuu nimepata kazi kwa WACHINA mshahara laki 4 hakna allowance yoyote ila sina amani nayo kabisaaaa
Aisee kama huitaki nije nkubadili mm mkuu watu tunatfta kaz ww hutak au kaz sio halali?habari zenu wakuu nimepata kazi kwa WACHINA mshahara laki 4 hakna allowance yoyote ila sina amani nayo kabisaaaa
Poaa mkuu wanguMkuu niaje??
Hahajahaahahahahahahanatafuta Amani