Nawe ulikula foo ya ngap mkuu.Kwa mara ya kwanza nimepokea Text kutoka kwa my Anko aliyeko Marekani, kanitumia "Vipi wazima uko?" mara ya mwisho tuliongea nilikua Form 1 na ilikua kabla Trump hajashinda.. Baada ya kushinda nimepokea Email;
"Dear Family,
It's your Anko from America. Trump won. I will be on the first boat to Karatina tomorrow... Mniwekee supper na Avocado.."
Ankoooooooo banaaaaaaa..