Traveller_mona
Member
- Jan 11, 2019
- 94
- 161
ushawahi kukaa kikosin hata week moja tu?? hyo akili ya ubish watu huwa wanaiachaga getini mzee
Hivi jeshn ukienda na degree unaanzia u private? mi nlidhan at least unaanza na kanyotaNdo maana mi na jeshi hapana kabisa...jeshini kupanda vyeo ni kujuana sana unaweza baki private miaka minne na degree yako na kozi huendi wakati huo kuna watoto wadogo ni ma captain
Mzee hata ukiwa na masters unaanzia u private kasoro hawa form six wanaobaki jeshini,wanasoma Degree of military science huko huko kambini miaka mitatu wakimaliza ni Officer moja kwa moja na nyota mojahv jeshn ukienda na degree unaanzia u private?? mi nlidhan at least unaanza na kanyotaduhhh mzee
Na kuna wengine hawakuitwa na ukuta walijenga wako kitaa tuKumbukeni tu kwamba kuna wanaoenda JKT na baadae kuishia kurud nyumbani
mkataba unaisha, ajira hujapata. Nimekaa nao sana kambini. Hata wale waliojenga ukuta wengiwao ajira ilipokuja kutangazwa walikuwa ukuta washajenga na mkataba umeisha xo walikuwa wamerud home
duh hii n kubwa kuliko.... lakn pia kumbka kuna form six huwa wanabaki JKT na wanarud home mkataba wao ukiisha.Mzee hata ukiwa na masters unaanzia u private kasoro hawa form six wanaobaki jeshini,wanasoma Degree of military science huko huko kambini miaka mitatu wakimaliza ni Officer moja kwa moja na nyota moja
Kubaki huko huko ndo nzuri ila ukishakuja mtaani kujitolea ni wizi tu wanaiba muda wa vijanaduh hii n kubwa kuliko.... lakn pia kumbka kuna form six huwa wanabaki JKT na wanarud home mkataba wao ukiisha.
ipi option nzuri kati ya kubakia huko huko (kwa wale wa mujibu) au kujitolea then unaunga tpdf
Mzee basi itakuwa hz mambo haznaga fomula maana waweza kwenda kwa mujibu na bado ukaishia kuwa privateKubaki huko huko ndo nzuri ila ukishakuja mtaani kujitolea ni wizi tu wanaiba muda wa vijana