Nimelala during the daytime, baada ya breakfast leo, nimelala, nimeota ndoto.
Katika hiyo ndoto mimi ni monk,nipo darasani na monks wengine,tunamsikiliza mwalimu wa monks.
Halafu mini nimeondoka. Yule mkufunzi akasema,"Huyu anapenda sana glucose. "
Pale kuna discipline kali,haiwezekani kuondoka,lakini mimi nimetoka nakwenda mbele bila kugeuka nyuma, najidai sijasikia ninavyoitwa nirudi.
Halafu nikaenda mbele nikapita kwenye fringes za mji,nikamwona mtu kichaa,amekaa,anakula vyakula vya jalalani. Yule mental aliponiona alitaka kunishambulia,lakini nikapita without incident,halafu nikaenda mbele,nilikuwa naitafuta nyumba ya watoto yatima
Kwa nikaamka nikacheki maana ya "glucose". Maana yake inakuwa kama vile ni sukari,lakini maana yake ni nini hasa.
"Glucose" nikaona katika dictionary kwamba ni vyakula vya wanga( carbohydrates) ambavyo vinabadilishwa na mwili kuwa glucose(sukari). Ni kati ya vyakula vitatu vikuu anavyokula binadamu: vingine vikiwa ni protein na fats.
Kwa hiyo ni ndoto tu,hakuna utabiri.
Monk, by the way, ni mtawa katika dini ya Buddha.