Ukimpata Babu yako mwambie..Maji male maji si ya pondo..ila huku kwetu wakwezi wamegoma...maana nazi zimekuwa koroma..usiache kumwambiia pia kuwa huku kwetu majanga yanatufika kama mabomu Iraq..sasa mia kwetu ni laki..vipi tutanusurika??Babu kakata simu ila kasema "kuna kiza" wacha niendelee kumtafuta 🤭🤭
Naogopa wasije tufuatilia.....kaka tuchati...maana maandiko hayatafutika...tutateta vijimaneno...havitasaidia kitu. ..ila sihiari naelezo, nasuluhu zapolisi,kuketa vielelezo, mwishowe iwe kesi,, tama ya huu mzozo ,, ni risasi kwa risasa..tusilipize kisasi,, moyo mpaka upate riwazo.Eeh! Kaka tuchat.
Kaka upo..babu katokea?? Kama ume mpata mwambie...vipi kikombe?? Maana nimekimisi.. na vipi mbona ule ubani maka na kungunanga..na iliki..nilituma hakuupata?? Pia jogo la kuwika si kifaranga..nywele na nta asli ya nyuki. ..hakuzipata..maana tambiki langu si la kitoto.Asaalam alaykum eko tu kama mumeshinda biyee,
Mie kwangu ni afuheni bwana yesu na asifiwe..
Nikaona nipitie kwa babu
Nikapate kikombe,
Mana ligi bado kubwa mpinzani anahitaji kombe..
Kinachofata dua niombe,
Huko ushindi ligi ya mbuzi mganga kaagiza ng'ombe
Achana na hayoo comrade!!
MIMI: Ehe umesikia nini mwenzangu namimi
Naona mambo nayo mengi
Ila yanaenda chini chini??
BABU: Nipo kusini mwa kisiwa cha utukufu
wambie ule ugonjwa upo Na
Unazidi kuua kuku..
Mdudu manyoya kalewa kaingia huku,
Japo bado hatuna hakika
Acha tuendelee kushuku..
Mimi: ila ng'ombe mbona wanaenda sana babu?
Au kisa umaarufu wao kwetu ndo unatupa tabu??
Kwani
R.I.P ni nini naisikia sana mjini hivi ina maanisha nini??
Babu: waulize wanaogoma wanagoma nini?
sura zao zimefura kwani kuna shida gani??
MIMI: DAAAH nieleweshe basi mtani au unataka na me niseme R.I.P fulani????
Babu: Koma tena kaaa kimya
Wameshajikabidhi kila kitu chao..
Usije baki jina nkapata shida
Ya kulea wanao, kuna kiza
Mimi: mbalamwezi ipo nayo inafaa
BABU: Kuna kiza
Mimi: simu ipo nitawasha taa
Babu:hicho ni kiza chenye mwiba na karaha, me nakukataa kaa ukijua kuna balaa
Mimi:babuu
(Kimyaa)
Mimi: babuu
(Kimyaaaa)
Mzee kanikatia na simu
Akipokea nitarudi tena
Nakupenda tanzania🔊
Ukimpata Babu yako mwambie..Maji male maji si ya pondo..ila huku kwetu wakwezi wamegoma...maana nazi zimekuwa koroma..usiache kumwambiia pia kuwa huku kwetu majanga yanatufika kama mabomu Iraq..sasa mia kwetu ni laki..vipi tutanusurika??
Babu hataki pokea simu🤭🤭🤭🤭🤭Kaka upo..babu katokea?? Kama ume mpata mwambie...vipi kikombe?? Maana nimekimisi.. na vipi mbona ule ubani maka na kungunanga..na iliki..nilituma hakuupata?? Pia jogo la kuwika si kifaranga..nywele na nta asli ya nyuki. ..hakuzipata..maana tambiki langu si la kitoto.
Basi tumuache apumzike. Maana huko JF hapatoshi..eti wanauliza ....mini jibu sina ila kama unalo nisaidie kuwaelewesha maana "Doubt kills more dreams than failure ever will."Babu hataki pokea simu🤭🤭🤭🤭🤭
Usimshuhudie jirani wako uwongoUmetumia maarifa mengi Sana lakini Bado umo kwenye kundi la wafurahia uovu!
Uongo upi!Usimshuhudie jirani wako uwongo
Kunishuhudia kuwa nimezunguka ..mie ndo hao hao wasiyemyakia mema.? USHAHIDI.....Uongo upi!
Kaka futa kauli yakos idiriki na sinto dhubutu kufurahia maovu. Narudia kauli yangu..."USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UWONGO" More over...( Sometimes the best blessings come out of the worst situations)..ZingatiaUmetumia maarifa mengi Sana lakini Bado umo kwenye kundi la wafurahia uovu!
Nyie mnahitaji kufanyiwa drill ili akili zianze kuwaza kilimo badala ya kusambaziana upuuzi!Kaka futa kauli yakos idiriki na sinto dhubutu kufurahia maovu. Narudia kauli yangu..."USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UWONGO" More over...( Sometimes the best blessings come out of the worst situations)..Zingatia
MmmmNyie mnahitaji kufanyiwa drill ili akili zianze kuwaza kilimo badala ya kusambaziana upuuzi!
You spend your time in gossiping, you are men with two balls yet you act as if you place some pads after every 27 days!
Mtamsema sana Mh..hampati kitu. "Kwani mwenye nacho huongezewa hata ukimsimanga"#@Saguda47Umetumia maarifa mengi Sana lakini Bado umo kwenye kundi la wafurahia uovu!