injinia mganga
Member
- Oct 13, 2016
- 94
- 21
Duuh hatari pressure inapanda inashukaPole, utundu wako...
Nenda ofisi ya admission hapo MNMA uulize, nina imani watakusaidiaaaaa...
Bustani ualimu wa msingiUlitaka kuhamia chuo gani ? Na kozi gani ?
Sasa si umeshaomba transfer ya kwenda chuo cha bustani ww subiri wakikujibu Nacte kuwa umefanikiwa kwenda chuo cha bustani ww nenda kasome tatizo halipoBustani ualimu wa msingi
Nimeishalipa ada and registrationSasa si umeshaomba transfer ya kwenda chuo cha bustani ww subiri wakikujibu Nacte kuwa umefanikiwa kwenda chuo cha bustani ww nenda kasome tatizo halipo
Duuh ni hatareehuo ufundi uliniponza
Ilikubali na tayari nimepangiwa bustaniHaiwez kukubal maana hujalipa
Transfer huwa inafanyika Mara moja tu na hawana msaada sababu tayari system imefungwa hata ndugu yangu yamemkuta hayo system ikifungwa ndo basi tenanaombeni msaada jamani me nlipangwa chuo cha maendeleo ya jamii Ruaha Iringa nkatransfer kozi name chuo nkaomba community health kwenda Kibosho School of Nursing but nlikua cjachek ada ya Kibosho sasa nataka kufanya transfer kwenda chuo cha government inagoma nkaambiwa niende makao makuu Nacre Northern Zone Arusha. ,nimeenda nao pia wananiambia haiwezekan kufanya transfer zaid ya Mara moja ASA cjui walkua wanataka kitu kidogo name died line Tatar systeam ishafungwa mwingne kanambia niende nacte makao makuu Dar jamn naomben ushaur name vyuo vishafunguliwa pls asanteni