njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
[emoji849]Kumbe kule Misri huo usajili mpya tulioambiwa kocha mzungu hajaupenda ni Moses phri na siyo Akpan
Kwa mwalimu keshaona Phiri mkali kuliko mzungu wake aliyemleta basi bora amchomeshe tu benchi na kwaweka kina kiyombo na boko ili Dejan aonekane bora zidi yao
Kiuhalisia team haina namba 9 wala sita
Kuhusu mazoezi ya wazi kuhudhuriwa na mimacho ya kila aian hapo Uzungu wa viongozi naona umeshika hatamu acha sisi wenye imani za kale tunyamaze maana tumezidi ushamba
Kufungwafungwa na utopolo hivi inauma sana lakini kuna wachezaji wengi simaba hata hawajali kama Inonga nafikiri kwa sasa anahisi yuko kwenye show ya bongo fleva inabidi tuwachangamshe kwa matusi kidogo kwenye social media zao akili ziwarudi sawa
ONYO: bata bullets siyo wepesi hata tukivuka, waangola siyo wepesi au wazambia kwa mwendo huu wa subs za kocha kumtoa chama tutarajie maafa naona alidhani bado yuko pre season
Tunawazomeaga utopolo na points zao 0.5 za caf lakini mwaka huu wanawapiga wale vibonde wa south sudan wakipita kwa al hilal kuingia makundi wanaanza kusogea juu meanwhile kama mzahamzaha huu wa kumtenga Phiri na kumtegemea kiyombo na dejan utaendelea ,dah aiseee .he
we uliyaona?Simba day hamkuyaona hayo au?
Mimi sio msimbazi ndio maana nawauliza nyie akina vunjabei hamkuyaona?we uliyaona?
basi kama ilishindikana manzoki mbona ma striker afrika wako wengi? mzungu keshaanza ile michezo kaze aliwafanyiaga utopolo kuwa wakala wa kuleta wachezaji...ila dah aghKiukweli kwa yule mzungu tumepigwa....
Kibaya zaidi ni kufungwa na utopolo...
nimepigwa na butwaa jinsi Barbra na try gain uongozi wao ulivyogeuka kuwa wateja wa utopolo
Mbona mlifungwa kwenye siku yenu?Tuacheni na prisizoni yetu ya Kigamboni! Nyie si mlikuwa Misri bhana[emoji16][emoji16][emoji16]
Au wanapata pasenti nini?nimepigwa na butwaa jinsi Barbra na try gain uongozi wao ulivyogeuka kuwa wateja wa utopolo
Nishaanza kuogopa kimataifa it seems like kocha hampendi Moses Phiri wala chama...na hata hajui jinsi ya kuwatumia okrah, chama, sakho,okwa kwa pamoja ndiyo maana matola kama kujifanya fala kwenye benchi halafu bado watu wanamlaumu, kapombe naye eti ni sub ya mwendaAu wanapata pasenti nini?
kama ana akili Ahmed ally anyamaze week hiiSemaji la TADEA litoke hadharani kujitetea haraka [emoji1787][emoji1787]
Hatuna kocha paleNishaanza kuogopa kimataifa it seems like kocha hampendi Moses Phiri wala chama...na hata hajui jinsi ya kuwatumia okrah, chama, sakho,okwa kwa pamoja ndiyo maana matola kama kujifanya fala kwenye benchi halafu bado watu wanamlaumu, kapombe naye eti ni sub ya mwenda
Afu nyie tukawafunga!! Mliambiwa mmechagua timu ya ovyo kwenye siku yenu...ili tu muonekane wazito. Haya sasa nani mzito?Mbona mlifungwa kwenye siku yenu?
Bahati yenu tuu leo mkuu. Pigeni magoti msali hata mayele amelithibitisha hilo ni Mungu tuuAfu nyie tukawafunga!! Mliambiwa mmechagua timu ya ovyo kwenye siku yenu...ili tu muonekane wazito. Haya sasa nani mzito?