Nimenasa ushauri

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,710
Reaction score
6,372
Kuna mdada ambaye tumekuwa tukidetiana kama miezi mitatu hivi na alinambia hana mtu kwani mtu wake yupo Gaborone jana kaniambia nimpitie kwake jioni tukapate dinner pamoja nikafika hapa kwake saa moja hivi usiku.

Mara mlango ukagongwa akauliza nani sauti ya kiume ikamwambia hebu fungua, akanambia mume wangu kaja akanikimbiza uvunguni mwa kitanda.

Hadi sasahivi nimeshindwa kutoka na jamaa bado kalala nimesikia akimuuliza leo uendi kwako jamaa kamjibu alishaaga atarudi kesho, nifanyeje nitoke humu ndani nina njaa alafu naogopa aibu kama nikitoka sasaivi alafu tukakumbana na jamaa.

Hiyo ni message nimetumiwa na rafiki yangu ananiomba msaada.

Mimi nimepanga kwenda kituo cha polisi tukavamie humo kumnasua rafiki yangu.
 
Hapo uvunguni kuna charger, nakuona upo online ka mod...

Hii chai ungewekamo hata nusu kijicho cha sukari mkuu
 
mwambie avumilie tu had jamaa atakapo ondoka and kwa hali kama hyo iliyompata c rahc kuhisi njaa zaid ya kitete kumjaa..... so nnamashaka mie!!!!!
 
Kama anayo KY -Jelly,mwambie atoke tu
 
Huyo mwanamke kama mjanja anaweza kutoka bila jamaa kujua. Amuwekee maji chooni ajifanye anataka kumpa mahaba ya kumuogesha na huku anaitwa na tabasamu la mapenzi ndani ya kanga nyepesi.
 
Huyo mwanamke kama mjanja anaweza kutoka bila jamaa kujua. Amuwekee maji chooni ajifanye anataka kumpa mahaba ya kumuogesha na huku anaitwa na tabasamu la mapenzi ndani ya kaka nyepesi.

hiyo kazi jamaa hawezi mwambia huyo mwanamke make hawawasiliani.
 
Huyo mwanamke kama mjanja anaweza kutoka bila jamaa kujua. Amuwekee maji chooni ajifanye anataka kumpa mahaba ya kumuogesha na huku anaitwa na tabasamu la mapenzi ndani ya kanga nyepesi.
Mmmmh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…