Mhm hata wewe umebadilika sikujuaga kama huwa una comment
Punguza ulanzi kijanaShindwa pepo.
Alafu wewe endelea kuzani watu hawajuani humu..Unamzia vipi mtu haumjui ,angalia usije Kuta kidume
Najua ila ukitoa huku naona umebadilika sana asee😁Nimecheka kwa sauti me ukitaka kujua nacomment njoo makapuku forum kwahiyo ulikuwa unajua me natoa likes tu
Acha mawengeJamaniii eeeeh ...nisaidieni kumtoa huyu kupe ,,,una nitakia nini aiseee...we mbulula nini ...niache KUNGURU...
Basi ngoja nijirudi tu kama mwanzoNajua ila ukitoa huku naona umebadilika sana asee
Usirudi madam uje humu tunakuhitaji sana☺️Basi ngoja nijirudi tu kama mwanzo
Usirudi madam uje humu tunakuhitaji sana
Demu wako? Embu pambana na ya nchi kwanza kuuzwa huko uniache kwanza niwasilishe hisia zangu kumoyo kwa Lamomy
Binafsi bado mimi sijawahi kula ban zaidi ya ile ya kuomba kwenye soka kwa hiyo humu mimi bado nina maadili ya kutosha kuendelea kutoa michango yangu.Hapana nitarudi tu kuanzia kesho
We ukiwahiwa unaponaHuna lolote wewe .mkwara MBUZI ..mchukue yule kupe wako Marcy.