Huyo alitaka mtoto. Asingekueleza ningesema labda ameshajua atakavyo mbambikizia mumewe, lakini sababu amekueleza basi itakuwa either kapenda kuwa na mtoto kuliko ndoa yaani hajali tena ndoa yake kwake haiana maana sana, au anafahamu udhaifu wa mume wake kuhusu tatizo la kupata mtoto na anammudu, ama basi tu ni mwanamke asiye na akili.
Swali la muhimu hapa si yeye mwanamke maana anajua anachofanya na madhara yake kwenye ndoa yake, na anamfahamu vizuri mume wake. Swali la muhimu ni wewe na hiyo tabia ya kutembea na mke wa mtu. Unajua unachofanya?