Taarifa gani??Asante kwa taarifa.
Akisema hivyo unamfata huyo mama yake unampokonyaHawachelewag kusema mama kanipokonya
Kademu ka beki 3 nakaelewa kinoma lkn hakana simu, kameni promise tukutane chini ya mwembe ,,,, nimesubir sana mpk nimedondokewa na maembe hakajaja , sjui nikatafutie simu , ila hata sielew kama nako kananielewa kihivo, ama keel mapenz uchizi bek 3 ananitesa mwenzenu