Lol...acha kupekenyua simu ya mpenzi wako. Wanasema eti ukifanya hivyo utajipa jakamoyo. Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kuficha kichwa chako mchangani na kujifanya kama hujui vile.
Akifanya hivyo si ndo ataendelea kujiumiza maana kitu anakijua A to Z halafu ajifanye kama hakijui???????